Description
Kutambua fursa ni mwanzo. Kuchagua kwa maarifa na kuchukua hatua ndiyo safari halisi.
Fursa za Biashara Tanzania – Kitabu cha 3 kinakamilisha mkusanyiko wa vitabu vitatu kwa kukupanulia zaidi maeneo ya fursa unayoweza kuyachunguza na kukusaidia kuendelea kujenga mtazamo wa kibiashara unaotazama tatizo, mteja, rasilimali, uwezo, soko na thamani inayoweza kutengenezwa.
Kitabu hiki kinafaa kwa mtu anayetamani kuendelea kupanua maarifa yake kuhusu fursa za biashara na kufanya maamuzi kwa uelewa mpana zaidi.
Thamani utakayopata
Kupitia Kitabu cha 3 utaendelea:
- Kuchunguza fursa zaidi za biashara.
- Kupanua uelewa wako kuhusu maeneo mbalimbali ya shughuli za kiuchumi.
- Kujifunza kutazama fursa kwa kuzingatia mahitaji ya soko.
- Kufikiria namna ujuzi na rasilimali ulizonazo zinavyoweza kutengeneza thamani.
- Kulinganisha mawazo kabla ya kuamua wapi uweke muda na rasilimali zako.
- Kujenga mtazamo wa kuendelea kujifunza na kuboresha uwezo wako wa kibiashara.
Usitafute biashara tu, tafuta tatizo unaloweza kulitatua.
Biashara yenye thamani huanza pale ambapo kuna hitaji, tatizo au tamanio la mteja ambalo bidhaa au huduma inaweza kulijibu kwa namna yenye manufaa.
Kwa hiyo, unaposoma fursa mbalimbali katika kitabu hiki, usijiulize tu:
“Biashara hii inalipa kiasi gani?”
Jiulize pia:
“Nani ni mteja?”
“Tatizo gani ninalitatua?”
“Kwa nini atanunua?”
“Nina uwezo gani wa kuanza?”
“Ninahitaji kujifunza nini?”
Hapo ndipo kusoma kunapoanza kubadilika kuwa fikra za kibiashara.
Pata Kitabu cha 3 kwa ofa
Nunua Kitabu cha 3 pekee na uokoe 30%.
Au chagua Bundle kamili ya Fursa za Biashara Tanzania – Vitabu 1, 2 & 3 na upate punguzo la hadi 53%, pamoja na Workbook maalum ya vitendo inayokusaidia kuchagua fursa, kuichambua, kuweka malengo na kupanga hatua za kuanza.
Chaguo ni lako.
Unaweza kusoma kuhusu fursa.
Unaweza kujifunza kuiona.
Lakini hatua unayochukua ndiyo inaweza kuibadilisha kuwa biashara.
Anza kujenga uwezo wa kuona fursa leo.


Reviews
There are no reviews yet.